Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Dec 18, 2018 Thread starter #41 Sibonike said: Mbona hata Ninja atadaka Ikibidi na pwenti tatu ziko pale pale. Yanga habari nyingine. Click to expand... lipeni madeni ya watu bhana !
Sibonike said: Mbona hata Ninja atadaka Ikibidi na pwenti tatu ziko pale pale. Yanga habari nyingine. Click to expand... lipeni madeni ya watu bhana !
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Dec 18, 2018 #42 Erythrocyte said: lipeni madeni ya watu bhana ! Click to expand... Siri ya point tatu kila mechi ni hayo madeni
Erythrocyte said: lipeni madeni ya watu bhana ! Click to expand... Siri ya point tatu kila mechi ni hayo madeni
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Dec 19, 2018 #43 kyata said: Unaujuwa mkataba was Beno na Yanga? Kama ndiyo endelea kupiga filimbi, kama siyo kaa kimyaa, maana kelele zako zitakuwa ni unafiki mtupu. Click to expand... Beno anaujua ndio maana akagoma... wewe unaetaka acheze bure endelea kutoa macho kwenye kazi ya mtu.
kyata said: Unaujuwa mkataba was Beno na Yanga? Kama ndiyo endelea kupiga filimbi, kama siyo kaa kimyaa, maana kelele zako zitakuwa ni unafiki mtupu. Click to expand... Beno anaujua ndio maana akagoma... wewe unaetaka acheze bure endelea kutoa macho kwenye kazi ya mtu.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Dec 19, 2018 #44 Lukub said: Kakolanya angetumika na simba angachia gemu ya simba na yanga mliomwachia acheze peke yake, mwachezaji wengine wakakaa nyuma wote kugeukaabeki ,natamani gemu ya simba na yanga ingekuja mapema tuwapigeuhuri Click to expand... Aliyeelewa alichoandika huyu mwamba anisaidie.
Lukub said: Kakolanya angetumika na simba angachia gemu ya simba na yanga mliomwachia acheze peke yake, mwachezaji wengine wakakaa nyuma wote kugeukaabeki ,natamani gemu ya simba na yanga ingekuja mapema tuwapigeuhuri Click to expand... Aliyeelewa alichoandika huyu mwamba anisaidie.