Kakolanya Kutimukia Yanga Msimu ujao?

Kakolanya Kutimukia Yanga Msimu ujao?

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao.

Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia.

Beno kakolanya amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Singida fountain Get, Yanga na singida black stars (Ihefu) zote zinamuhitaji.

20240511_143511.jpg
 
Hii kurudia rudia wachezaji imesababisha ligi yetu kuzorota sana Kila siku ni kina sabato
Kama sio wageni wanaokuja kuchangamsha basi hali ingekuwa mbaya zaidi
Leta dam changa hao kina metacha na kakolanya Yao yalipita waendelee mbele
 
Beno Kakolanya wa nini tena! Huyu hastahili kurejea Yanga. Kwa sababu aliondoka kwenda Simba katika kipindi ambacho timu ilimhitaji sana.

Kama Yanga wanahitaji mlinda mlango wa kweli wa kumpa changamoto Djugui Diarra, basi wamchukue Mkongoman Rey Matampi! Labda kama kanuni zinakataza kusajili walinda mlango wawili kutoka nje. Ila yule mwamba yuko vizuri sana.

Na ikishindikana kabisa, basi wamrudishe kundini Erick Johora. Ila siyo Beno Kakolanya.
 
Back
Top Bottom