Kakonko, Ngara, na Biharamulo kataeni makao makuu ya mkoa kuwa Chato - Nyakanazi liwe pendekezo lenu

Kakonko, Ngara, na Biharamulo kataeni makao makuu ya mkoa kuwa Chato - Nyakanazi liwe pendekezo lenu

Mara paap mkoa wa Chato ungejimega kuwa sehemu ya Rwanda,lkn Mungu ni mwema
 
KWA WAHESHIMIWA:-
(i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu
(ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo
(iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara
hawa wote bila tume ya uchaguzi si wabunge!! anyway tuendelee na mada ya kuifanya Chato mkoa !!
 
Nataka kwenda kijijini chato nielekezeni wenyeji Niko idodomya
 
Back
Top Bottom