PreGE2025 Kakonko: Viongozi na wafuasi zaidi ya 200 wa CHADEMA wamajiunga ACT Wazalendo

PreGE2025 Kakonko: Viongozi na wafuasi zaidi ya 200 wa CHADEMA wamajiunga ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
 
Kwa mujibu wa Masese waliohamia huko hawazidi 40
 
Kwani kila mtanzania ana kadi ya chama fulani!!?

Kuna kina sisi ambao hatuna kadi yoyote ya chama cha siasa ila tunaridhishwa na sera za chama chote kinachofocus kwenye maendeleo ya wa Tanzania wote wakiwemo watoto na wajukuu wetu ambao mambo ya vyama vya siasa hayajawafikia na hawana mpango navyo...

Hata hivyo kwa sasa nikiamua kuchukua kadi ya chama cha siasa, nitakwenda na mzalendo Tundu Lissu, huyu anaonekana analo jambo la kuisaidia nchi.

Siku nitakayochukua kadi nitaambata na wasio na kadi za vyama wasiopungua milioni moja kwa idadi maana tupo wengi mno. Nasi tutajiunga na chadema.
 
Siku hizi mkitaka habari ipewe uzito ni lazima utaje CHADEMA .

Hiki chama kimekua na ushawishi mkubwa sana nchini.
 
Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
Toeni ujinga wa maigizo yenu jukwaani hapa..

Habari ya mjini kwa sasa ni TKO ya Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima kwa chawa nyie..

Kesho ni Tamko la CHADEMA kwa ajili ya kuanza wiki mpya...
 
Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
Cuf,tlp,udp na wengine wenyewe hawahami vyao ? Ni chadema tu? Tikisa kichwa kidogo, ujue kama akili zimo! Maana sijui hamfikirishi akili au ni wajinga msiojua mnafanya nini? Tuweni serious jamani nchi inatuhitaji tujadili mambo ya msingi sio trendi za matukio ya kutengenezwa kama sinema.
 
Ushindi unaanzia kwa wanachama wafuasi na si vinginevyo.numbers dont lie
 
Back
Top Bottom