Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

usihofu Mungu atampa mwingine,huyo hakuwa wake
 
Ili kuoa single mother lazima kuzingatia yafuatayo;

1. Lazima ushuhudie kaburi la baba wa mtoto.
2. Cheti cha kifo ( majina ya cheti yafanane na ya kaburi pamoja na kufuatilia uhalali wake ofisi za RITA)
3. Upate video ya mazishi kujiridhisha

NB:
Hakuna kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya.
SASA WEWE JICHANGANYE, HAKUNA RANGI UTAACHA IONA.
 
Ufanye Uzinzi kabla ya kuolewa halafu uje utegemee huruma ya mwanaume akuoe?

Kipindi anafanya uzinzi hakujua kwamba atahitaji kuolewa?

Ni mwanaume mjinga na mpumbavu tu ndio atakubali huu ujinga wa kuoa mwanamke mwenye mtoto kabla.
 
Kwanza hajakutwa akiwa bikra,akasamehewa halafu tena anakuja baadae anasema pamoja na kunikuta siyo bikra,ila nimezalishwa kabisa.Aisee yataka moyo sana,wanaume tuna wivu sana,wadada mkitaka kuolewa kiroho safi,chungeni sana mienendo yenu kabla ya kuolewa.Ukute hata aliyemzalisha alivyoambiwa kua muoe huyu dada kwasababu umempa ujauzito,akajibu sikumkuta bikra,hivyo atakua na mahusiano na maex wake,ntaoa nitakayemkuta ni bikra,na akampata bikra akamuoa.
Enyi wanawake,ambao mnaolewa kwasasa,ukiolewa jua kabisa anayekuoa hajakutana na bikra,akikutana na bikra,ushindani wako nayeye(huyo bikra),unakua mkubwa.Nawewe single mother,ukiolewa na mwanaume,jua huyo mwanaume,hajakutana na mdada bikra au ambaye siyo bikra ila hana tabia njema ukilinganisha nawewe, ndiyomaana kakuoa wewe.Tambua mdada ambaye ni single mother au asiye bikra ni chaguo la pili baada ya mtu kukosa hitaji lake.
Jitunzeni.
 
Huwa nawafikiria single father's kwakweli na mm natak nione makaburi ya wanawake mlozaa nao 😀
Single father sisi ndio tulikataa kuoa hao tuliozaa nao wakati kwa single mothers ni kinyume chake.
So, mara nyingi kama nimekataa kukuoa basi kuna kitu niliona hakiko sawa kwako. Halafu hatuna ile piga piga simu kuomba child support, hapa kwenye child support ndipo single mothers wanakokamatika.
Mimi ninaweza kumaliza hata miezi 4 sijawasiliana na mzazi mwenzangu. Kwanza hapa mwaka wa 4 hata kumwona sijawahi kumwona.
Ila sasa yeye from no where usku saa nne mara sms nimewamiss wewe na mwanangu. Nasikia umenenepa natamani nikuone na sms za ajabu ambazo mara nyingi sizijibu na hapo tayari yuko kwa mahusiano mengine.
Single mothers mna changamoto fulani fulani kwa kweli.
Sema hii kampeni ya kuwakandia single mothers itafanya madada wengi wawe wachoropoa mimba wazuri hivyo watakuwa mama wa marehemu
 
Kabla sijawa na akili pevu niliona kulea mtoto ni jambo jepesi tu, si nikawa najisemea i nikununua chakula nguo na kumkatia bima basi.. Kumbe nilikuwa najidanganya. Basi hivi juzi juzi mzee wangu aliomba nimsaidie kuwalea wadogo zangu wa mwisho kabisa qmbao ni wadogo kweli wako Primary na mnajua siku hizi watoto wanaingia shule wakiwa bado wadogo. Baada ya hapo nlianza kukaa nao, mmh niseme tu ukweli kulea sio jambo dogo wazee na ukute mtoto anamalezi mengine tayari kasheshe hilo. Kwa jinsi ninavyoona kulea watoto ambao hujazaa wewe mwenyewe ilivyo kazi sasa inakuaje kulea mtoto wa mwanaume mwenzako. Akina dada wa siku hizi lwzima wajue kuwa ikitokea mtu amekupenda wewe kama single mother na akakubali mlee pamoja na yeye umzalie wa kwake mshukuru sana huyo jamaa kwani atakuwa amekutoa jalalani. Single mothers wengi hujilinganisha na wale ambao hawajazalishwa, kusema ukweli hawawezi kuwa sawa, hata akiwa na miaka 30 kilometa zimesogea ila kama hajapata mtoto chance za kuolewa zipo juu kuliko huyu single mother mwenye miaka 25.
Nirejee kwenye maada, kwanza jamaa anamipango yake na mtu kushika dini sana na pia jamaa alikuwa hajampenda sana huyo dada. Mapenzi upofu asee, angekua amempenda kikweli kikweli mtoto isingekuwa shida changamoto ingelikuja baadae mwanamke akishamzoea mwnaume anaanza kumuona wa kawida na kuanza kuweka mahusiano na yule Baba mtoto. Hilo ndio linqkatisha tamaa na huwezi zuia hawa wawili kuwasiliana kwa namna yoyote vinginevyo utakuwa unamnyima mtoto haki yake na kutunzwa na Baba yake mzazi. Mwisho nasema tu, kulea jamani sio jambo dogo ndio aje kuwa mtoto wa mwanaume mwingine mmmh kasheshe hilo.
 
Jamaa kaoa mke mwingine na hata mtoto hajamchukua ili aishi nae?

Ushauri kwa single mothers - mlio na mipango ya kuolewa, msipende kukaa na hao watoto, wapeni baba zao, mtoto akishaacha kunyonya, mtu yeyote anaweza kumtunza, ili mradinawe na upendo kwa mtoto, baba hawezi mchukia mwanawe.

Sasa tatizo nyie mnapenda kukaa na watoto ili muwatumie kama chambo cha kupata hela ya matumizi, mkija pata watu wa kutaka kuwaoa ndio mnawakimbiza wenyewe wakijua mna watoto na watoto wapo kwenu bado.

Mnang'ang'ania watoto na ilhali malezi yenyewe mnawapa mabaya, ya kumjaza mtoto chuki dhidi ya baba yake. Pole sana mdogo mtu kwa ndege kupeperuka.
 
Ikiwa jamaa hajaona Kaburi, Cheti cha kifo na video clips za mazishi asioe huyo Mdogo wako
 
Bora huyo mdada ana mtoto na amesema ukweli,unakuta anapoenda kukimbilia ndio balaa ,Unamfata mwanadada haja mtoto kumbe kashatoa mimba mpka akifa shetani atamkataaa....
 
Sijui nipo off topic , hivi kwanini watoto tuseme wanne waliozaliwa na baba tofauti ila mama ni mmoja ,Huwa hakuna ile family bond , yaani ule upendo baina ya ndugu na ndugu?[emoji848]
 
Nanukuu ""Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.""

Hakuna mtoto anae tokea tuu, mwanamke mpaka uzae nae amini nakuambieni vijana anakua amekupenda sana mpaka anakuzalia.

Mwanaume wa ndoto zake ni huyo aliye zaa nae na ataendelea kumpa utelezi mpaka mwisho wa dahari kwa kisingizio cha ni mzazi mwenzake..

Tulikubaliana kwenye kikao chetu wanaume wote

" HAKUNA KUOA SINGLE MAZA MPAKA UONE KWA MACHO KABURI LA MWANAUME ALIYE ZAA NAE, NAIKIBIDI ULISHIKE KABISA UJUE NI HILI HAPA. NA UJUE CHANZO CHA KIFO CHA HUYO MWANAUME ALIYE ZAA NAE"

TOFAUTI NA HAPO TELEZA SEPA ZAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…