Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Mwanamke humjali mwananmme pale anapokua hana dira yoyote!!

Lakini Dira ikishapatikana tu mwanamke huonyesha uhalisia wake,Sisi ambao tulianza na wanawake fresh na tukaona hayo hatuwezi bet KUOA single mother's!!

Nampongeza jamaa sana KWA maamuzi!!!

USIOE mwenye MTOTO kama wewe huna MTOTO kwanini kuzeeshana kabla ya WAKATI!!?
 
Mimi ni mwanamke ila huu upuuzi wa kijiachia kuzaa zaa vito ambavyo havina baba haikubaliki.

Hata ningekuwa mwanaume siwezi oa mwanamke mwenye mtoto kama niko chini ya miaka 35.
Huyo kaka kafanya maamuzi sahihi..mdogo wako anataka ndoa atuoneshe kaburi la mzazi mwezie.
Northing personal here case closed.
 
Kha..ukiambiwa wewe ni mwanaume wa 7 lazima pumbu zinyweee kwanza..wanaume tunawivu sana.
 
Huyo ni wa kupiga mbupu tu, atokee boya amweke ndani tupo hapa kutoa ushauri kamati ya roho mbaya
 
Jannifer,Sioni kosa la Bwana Huyo kwani ni swala la kikanuni na uamuzi.Hata hivyo nafikiri ni bora amekuwa Muwazi kwani Katika Maisha mtu Muwazi ni muhimu sana.Kuhusu Mume wa Ndota yake hilo lisimpe Presha Waoaji bado wapo sana na atapata atakaymkubali jinsi alivyo.NB Somo ambalo anapaswa kujifunza kuhusu Suala hili ni umuhimu wa kuwa muwazi mapema katika mahusiano hasa kuhusu swala linalohusu jambo ambalo linaweza kuathiri uhusiano wenu huko mbeleni kama vile swala la kuwa na Baby Mama au Baby Dady.
 
Acha kupangia maisha watu,kila mtu ana priorities zake nyie subirini mume anaependa mke mwenye mtoto usimnange jamaa kwamba ana choyo na roho mbaya.
 
Jamani😟
 
Duh, ila wanawake mkumbuke tu kuwa maringo ni ya mda mfupi sana. Nina uhakika kipindi huyo mdogo wako ana 23 yrs wanaume wa ndoto yake walipanga foleni ila alikuwa analeta mashauzi mwisho kazalishwaa na huyo baharia in desperation ya ndoa.
 
Mimi nimezalisha wanawake 3 tofauti ila kwa bahati mbaya hakuna ata mmoja tuliyepanga kuzaa wote wanakwambia bahati mbaya nimepata mimba..

Bahati mbaya zaidi wote wameolewa sasa na wanaume tofauti ila wototo nalea mahitaji bila kelele.

Huwa najuta some tyme ila napotezea ndio yameshatokea yaani hadi hamu ya kuwa na ndoa imeisha.
 
Jamaa ana misimano yangu safi kabisa ,ulitaka aowe mke wa mtu? Aliyemzalisha ndiyo amuowe hiyohuyo, jamaa ametomba weee Hadi mimba harafu mtu mwingine ndiyo uowe
 
Pole yake, kilichomkata stim jamaa ni hiyo "tunawasiliana kulea mtoto".

Nampongeza jamaa kwa ujasiri wa kutooa mke wa mtu.
Msizaw hovyo kina dada hivi inakuaje mpaka mnazaa kama simbilisi.

Ingekua miaka ya 90 sawa lakini miaka hii na tec yote hii, siku zako unahesabu kwa kutumia app, kuna kila njia za kuzuia usizae mapema bado jitu likidaka mimba utaskia ni bahati mbaya, ooh sikupanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…