Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Huku kwetu tarime ,ukiishazalia nyumbani kwenu, hiyo ni qualification ya moja kwa moja kuingia kwenye ndoa nyingine, yaani unakuwa mke kuanzia wa pili ,unaweza kuwa hata wa kumi, hatunaga limit
Na hiyo ni disqulification ya kuwa mke wa kwanza
sijui huko dar
 
Huku wamebakisha kushindana na mparange tu wanasema usingle mama Wana enjoy uku nafsi zao zikibaki kuuma🤣🤣🤣
 
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Hapo kwenye kuwasiliana na mzazi mwenzie kuhusu mtoto wao ndo shida zote huanzia.

Mawasiliano hayawezi kuishia juu ya mtoto pekee, sooner or later watamisiana, na kiporo kitapashwa saaana tu
 
Sawa basi atamuoa
 
Acheni umalaya kabla ya ndoa, mimi hata nikija kuwa na mtoto kamwe sioi single mother, maana hamuachanagi na aliyewazalisha wa kwanza.

Mwanaume anaangaliwa future, mwanamke anaangaliwa past
 
Kiwanja tayari Kina risk kubwa ya kuwa na Migogoro..!

Aongeze Maombi.. !

Mara nyingi Singo Maza huolewa na Wanaofanana nao yaani Singo Faza. Wote wakijaaliwa watoto Kwenye ndoa hawaanzii Moja Kuhesabu..!
Hata single father anahitaji mtu ambaye hajazaa au awe tasa kabisa. Ili nalo kaliangalie Kwa mapana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Tatzo linakuja kwangu mm huwa nawaza naoa mwanamke ana mtoto huwa najiukiza mtoto kampata kwa kusex na kamwagiwa ndani hapo hapo roho inauma nasema sioi single mother kamwe. Mfuko wa uzazi usharutubshwa tayari hapana kubwaaaa sioi single mother. Inauma ila wanawake hawajuagi tu.
 
Binafsi nampongeza sana huyo Kijana kwa uamuzi alioufanya.Aisee hata mimi Siwezi ng'ooooooo,Yaani demu akishazaa na Mwanaume siku zote Mtoto ndio huwa kiunganishi na hawa wawili kuwadhibiti wasinyanduane tena ni ngumu Maana wanatumia Mtoto km Sababu.Aisee huyo Kijana namtumia Kilo moja ya Kitimoto rost na ndizi na Balimi za baridiiii nne ajiswaswamue,Maana amenifurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…