Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Atakuwaje mke wa kwanza wakati wewe sio mume wa kwanza?
Wanawake wanakuwa na ubinafsi sana.
Wanataka wao wazae na kila mtu ila wewe uzae na yeye tu
 
Mtoto kamletea niksi gani? Yaani umalaya wake na tamaa zake ndio amsemee Mtoto maneno mabaya! Chupi alivua yeye.
Mtoto ni zao la umalaya wake.Akae kwa kutulia
 
Nampongeza sana sana huyo mwanaume mwenzetu. Kakomaa kiakili.
 
natural wanawake na wanaume hatuko sawa,
mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto ni ngumu mno, na hata ikitokea huwa mwanaume anaishi kwa stress sana kwenye ndoa hiyo,. that's nature.....
 
Kijana yupo sawa!

Wazazi huwa hawaachani ila huwa wanatengana na mtoto ndo kiunganishi kikubwa kwao!

Afu useme tunwasiliana kwa ajili ya matumizi tu.

Jinsia ya kike huwa ni ngumu kujifunza hata kwa kuona kwa wanawake wenzao waliozalia home!

Mbaya zaidi hurudia kosa hilo kwa kuzaa na mwingine badala ya yule wa kwanza mwishoe hufikisha hata watoto wa4/wa5 kwa wanaume tofauti! Afu lawama zinaelekezwa kwa mwanaume

Anyway ndivyo wameumbwa kudanganywa mpange jipigie pita hivi!
 
Ulabu
 
Zingatia umri wa huyo msela, si kila mtu anafaa kuitwa mwanaume
 
huyo haukuwa mume wake aliyepangiwa na Mungu
 
Huyo Lofa tu hakua na nia yoyote kuoa.
Maskini tuna tabu sana
 
Mm naweza oa single mom nikiwa na watoto kuanxia 3 kwenda juu ila mwqnaume mwenye chini ya 2 kids au hajawahi oa nashauri oa ambae hajazaa
 
Hili litumike kama funzo kwa dada zetu...
Lakini manikin yao na macho yao ni kwenye pochi tu.acha yawakute
 
bila kupepesa macho huyo ni wewe. Ushauri wangu tafuta single baba akuoe.
 
Hata mama zetu ambao ni wanawake wenzenu huwa wanatukataza vijana wao tusije kuoa mwanamke mwenye mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…