Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Singo mazas ni shida! Bora kugongwa na nyoka mwenye sumu kali kuliko kuoa singo maza.
 
Wanaume tumekubaliana hatuoi singo. Maza bladifacken
 
Haya huyo dogo ambae hakuwa mchoyo na mbususu yake wacha avune alichopanda
 
hapa enyewe nimeotea single maza nataka anizalie na mimi alafu nitembee
 
Bora mwanaume awe na watoto kuliko mwanamke awe na mtoto
 
Bora mwanaume awe na watoto kuliko mwanamke awe na mtoto
Kweli mkuu Kwasababu watoto watamtegemea Baba yao na Baba hawezi kumpa mke majukumu, tofauti na Mwanamke akiwa na Mtoto ukimnyima pesa kwa ajiliya mtoto wake ana kasirika.
 
Huo ndio uhalisia wa maisha. Zunguka dunia nzima, kila mwanaume kweli ana ndoto za kuwa na mke wake peke yake ambaye atapata naye watoto wao peke yao.

Na hakuna mwanaume mwenye ndoto za kuwa na mke mwenye watoto wa mwanaume mwengine. Hayupo. Ukikuta mwanaume anayetaka hivyo basi jua sio mzima kiakili wala kimwili.

Nyie wanawake hamuwezi kuelewa hichi kitu. Mimi kwangu kuoa ni kama kununua bidhaa mpya ya kwangu peke yangu. Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kukopa kitu used. Ambacho mmiliki halali hatoacha kukusumbua.

Vilevile ni aibu kwa familia, especially kwa wazazi. Imagine unaawambia wazazi unaoa mwanamke mwenye mtoto ambaye siyo wa kwako. Dammit! I can't imagine that.

Huyo jamaa kafanya maamuzi sahihi. Hakuna kukubali uboya wa kulea mtoto wa mwanume mwenzako. Especially hilo toto lije kukuona pimbi baadae. BIG FUKING NO.
 
Kwahiyo Ndugu mleta mada unataka MWANAUME MWENZETU AKALEE BAO LA MWANAUME MWENZAKE?

Siku nikioa singo maza mninyonge!...
 
Kwahiyo Ndugu mleta mada unataka MWANAUME MWENZETU AKALEE BAO LA MWANAUME MWENZAKE?

Siku nikioa singo maza mninyonge!...
Weka akiba ya maneno, siku moja utakuja nishukuru!!
 
Ukidibua asali, lazima ulambe na vidole.
Mwanamke mwenye mtoto ni mke wa mtu tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…