Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu
Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea vidole vya kati. baada ya kumaliza kutukana ikawa ile..
Mwenda kwa miguu anageuka tu endelee na safari akagongwa for real sasa na bajaji. kilichomponza ni maneno mingi, alikuwa ana chamba chamba sana mpaka akasahau kuangalia usalama
Funzo:
Nilichojifunza tuwe na shukurani kwa hali zote tunazozipitia katika maisha na pia maneno mengi mengi sio mtaji.
Bahati nzuri hakuumia sana though