Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini...
Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa...
Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.
Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
Anonymous
Thread
baada
jina
kukamilisha
kurekebisha
malipo
mteja
sgr
tiketi
Nimetoka muda huu katika Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo nililipa ada ya maegesho ya gari. Baada ya muda, nilipofika kwenye geti la kutokea, magari yalikuwa yakifuatana. Gari lililokuwa mbele yangu lilipita likitumia tiketi yangu kutokana na mfumo wa kamera...
Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya.
Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya.
Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya.
Hii la...
Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi.
Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania.
Na hapa sio...
Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani.
Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao.
Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya maisha ukifa utaacha nini wakukumbuke.
Leo hata mtu ukimuuliza kulikuwa na spika wa bunge...
Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo.
Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂
1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves?
Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho.
Baadhi ya wahitimu...
Anonymous
Thread
cheti
chuo
kufanikiwa
kurekebisha
mtwara
ngumu
saut
ukitaka
Habari wakuu,
Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza.
Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla.
Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988.
Katika cheti changu jina langu...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole
Ipite mbali Mifumo isipite naye
Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe
Nape naye alijisahau siku aliponyoshewa bastola na Mifumo mibovu akashtuka sijui Kama ameshajifunza na...
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu.
Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo.
Jirani...
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.