Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!
Nilikuja kujuta...
Takukuru ni Moja ya Taasisi nyeti sana na ambayo inapaswa isimame katika misingi ya haki kwani hata majukumu yake yamejikita katika kutenda na kutetea haki.
Hivi karibuni mmetoa orodha ya majina ya vijana mliowaita kwenye usaili wa ana kwa ana oral interview, orodha ambayo imeacha maswali mengi...
Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote.
Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua.
Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri!
Kwa matukio mawili haya sasa...
Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya.
Sababu zangu:
1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe tulikotoka.
2- Si Katiba yote ni mbaya, wala si nusu yake. Why re-invent the wheel?
3- Gharama za kuandika...
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji...
Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya.
Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit.
Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF...
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC.
Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
Salamu wakuu
Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf.
Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko.
Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika...
Her Excellency Samia Suluhu Hassan
President of the United Republic of Tanzania
President’s Office, State House
1 Julius Nyerere Road
Chamwino, Dodoma
June 14, 2021
Sent via email: press@ikulu.go.tz, ikulu@ikulu.go.tz
Dear President Samia Suluhu Hassan,
We at the Committee to Protect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.