Juzi kipitia jukwaa la siasa nilianzisha mada kuwa Lowassa baada ya kumaliza misikitini na makanisani sasa amehamia kwa wanamuziki hii ilitokana na nyimbo za Kala Jeremia azimio la Arusha na karibu Dar ambazo alimsafisha baada ya yeye kuna wasanii pia wamejitokeza kumuosha kama Ney wa mitego na wengine.
Leo ninekutana na waraka wa Kala Jeremiah akijitahidi kujisafisha.
Sio wasanii tuu, % kubwa ya Watanzania tupo ladhi tuuze utu wetu kwa njaa ya siku moja.... Binafsi sema basi tuuu ila Tanzania tuna matatizo aiseee... Mungu tusaidie fikra mgando sijui zitatutoka lini...!!?
kala dear god ndo wimbo wake wa kustaafia game kama ilivyo kwa ney wa mitego na ule wimbo wake na diamond!....watu kama hawa ni wasanii wa mpito so wanachotaka kufanya ni kulazimisha kuwepo katika game kwa kudandia yasiyowahusu!!!!!hawana ubavu wa kutoa nyimbo nzuri tena labda hivyo vinyimbo vyao kila mwaka wawe wanavitolea remix au watafute wasanii wanaojua wawabebe katika feauturing!