TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
hivi hii ni JF au ni forum nyingiNE!
Nadhani we umeingia choo cha jinsia nyinginE..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hii ni JF au ni forum nyingiNE!
We utakua ni fan wa mziki mwinginE, Uamsho hicho nacho ni kitu kinginE, Wakati mwinginE uulize usikisie vinginE, Wenye dini yao wasije kuanzishia menginE, Ukawajibu hovyo invisible akakupa BAN nyinginE, Usiwe kama wanaoamini hadi leo nyerere yupo penginE, hujamjua tu bado au nikuelekeze kwa lugha nyingiE, PenginE makofi ndo iwe lugha nyinginE...