DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Kuna vitu vinachekesha sana usiku wa kuamkia Leo nimekuja kugongewa na jirani yangu mlango akidai Kuna shida nyumbani kwake, kaka yake anatapika mfululizo.
Ikabidi chap chap niamke kwenda nyumbani kwake mida ya saa namkuta jamaa nje katapika makande yaani punje nzima nzima nahisi ata alikua hatafuni alafu Kuna harufu ya pombe kali hizi spirit Kwa haraka nikajua tu hili ni (bapa) konyagi.
Sasa ilibidi nicheke kwanza🤣🤣 mtu unaanzaje kunywa konyagi na makande?🤔 Wakati ile kitu Inahitaji tu nyama nyama Fulani.
Anyway ikabidi tusubiri jamaa arudishe chenji zake akae apigwe na upepo nje mpaka alivokaa sawa.
Ila binafsi namuonea huruma sana yule Binti Kwa adha anayokutana nayo sometimes anakula kipigo sana jamaa akilewa😓
Kunywa kistaarabu, haiuzwi Kwa walio chini ya miaka kumi na nane