fredito13
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 146
Kuna baadhi ya wasanii wa 'hip hop' ambao wamekuwa wakijiita ni 'bora zaidi' na wao wanafaham misingi ya Hip Hop! Kati ya wasanii wanaojiita hivyo ni Kalapina na kundi lake la kikosi cha mizinga!
Kwa upande mwingine kuna wale wasiozungumza, lakini sanaa yao inakubalika zaidi kwa mashabiki! Upande huu unaongozwa na Fid Q - Ngosha the Don a.k.a Jeshi la mtu mmoja
Kati ya Fid Q na Kalapina (Kikosi cha Mizinga) ni nani anayefanya hip hop ya kweli (zingatia ujumbe, beat, sauti na miondoko)
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums