Kala Pina na Fid Q Nani Zaidi

Kala Pina na Fid Q Nani Zaidi

Acheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....
 
wewe ni mgeni wa muziki wa bongo kaa kimya ufundishwe...Fid ni msanii mkali lakini ni kweli kakopi staili ya Machizi Flani wa Hatari ambao kwa sasa mnawaita Mapacha kifupi Fid kawakuta Twins kwenye game wakati anatoka kwao nyakato mwanza.
 
mi huyo kalapina sijuagi hata anachoimba nn, fid q rocks
 
Acheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....

Wewe Mapacha umewajua kupitia Vinega mkuu wangu!! Machizi wa hatari ni noma kitambo toka tupo nao A town then Dar!
 
Mmang'ati muulize FID Q kawajuaje Mapacha atakupa mchapo wote kama hatafanya unafiki.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mgeni wa muziki wa bongo kaa kimya ufundishwe...Fid ni msanii mkali lakini ni kweli kakopi staili ya Machizi Flani wa Hatari ambao kwa sasa mnawaita Mapacha kifupi Fid kawakuta Twins kwenye game wakati anatoka kwao nyakato mwanza.

Huyu anajua 50/50? kama buku ni jero kwa jero!
 
Acheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....
Nakumbuka ndo mara ya kwanza namjua Fid nilimsikiliza kwenye hii nyimbo yuko na Nuruelly nafikiri ha ha
 
Back
Top Bottom