Mmang'ati
Senior Member
- Jan 8, 2011
- 184
- 49
Acheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....