kubanda anatisha mzee usimlinganisha zitto na ben saanane
kubanda anatisha mzee usimlinganisha zitto na ben saanane
Hakuna MC hapo! Watoto mlioanza kusikiliza muziki juzi ndio kauli zenu hizi.
FID Q asili ya style yake ni Mapacha (maujanja supplier) na ni bingwa wa kucopy hadi mistari.
Ipo siku sanaa itarudi kwa wenyewe kama enzi zile!
Unaposema ka-copy mistari unatakiwa useme ni mistari ipi na style ya mapacha na Fid ni tofauti kabisa...
Hiphop ni (movement) harakati zilizobeba maarifa, hiphop ni jinsi unavyoishi, na rap ni kile unachofanya, utamaduni wa hiphop umeshikiriwa na nguzo muhimu nne 1.Uchenguaji (Emceeing), uchezeaji santuri (Deejaying), kuvunja (break dancing) na uchoraji machata (graffiti).
KRS One akitoa Darsa katika chuo kikuu cha Harvad, anasema zimefika element 9, zilizoongezeka ni 5. Beat Boxing, 6.Street fashion (Mitindo ya mavazi ya mtaa) 7. Street language (lugha za mtaani, jamii ya wana hip hop), 8. Street Knowledge (Elimu ya mtaani) na hapa alitoa mfano wa slogan ya NO JUSTICE NO PEACE imetoka mtaani. 9. Street Entrepreneurialism (Ujasiliamali wa mtaani).
Ukiangalia maelezo yangu kwa ufupi ni dhahiri utapata majibu ya nani mkali kati ya Fid Q na Kala Pina. Kwa ufupi wote wako katika same movement na wanahishi katika utamaduni mmoja isipokua wanazidiana katika vitu vichache. Fid anamzidi Kalapina katika Nguzo ya saba yaani lugha za mtaani hasa katika kuandika na uchenguaji pia yuko vizuri. Kala Pina nae yuko vizuri katika kuandika lakini sio mzuri katika street language.
Katika harakati hizi naweza pia kusema Kalapina amekua imara kwa muda mrefu na hasa katika kusimamia na kuhakikisha misingi ya utamaduni wa hiphop inafuatwa tofauti na Emcees wengine!
Sasa wewe utaamua nani zaidi…Mimi nimewasilisha tu baadhi ya tofauti kwa uelewa wangu!
View attachment 93761View attachment 93762
KRS One ni legendary lakini nae anajiongezea tu nguzo utafikiri ana mamlaka flani hivi ya Hip hop!!!
Hakuna MC hapo! Watoto mlioanza kusikiliza muziki juzi ndio kauli zenu hizi.
FID Q asili ya style yake ni Mapacha (maujanja supplier) na ni bingwa wa kucopy hadi mistari.
Ipo siku sanaa itarudi kwa wenyewe kama enzi zile!
Nitakuwa najaza server za JF tu bure mkuu wangu tumeshajadili sana hawa wasanii kitambo pekenyua humu utapata kila kitu.