Kala Pina: Nimepoteza fedha nyingi sana kumsaidia Chid Benz

Utamu wa hii dawa unaenda kwenye sehem ya ubongo au dopamine , pale ndo panapompa mtu raha ,, sasa kivipimo madawa ni zaidi ya mara ishirini kuzidi sex (organism) na hiyo raha inakaa kwa mda mrefu tofauti na orgasm ambayo haikai hata dk mbili..
Aisee kumbe tamu kuzidi Ngono mkuu unatushawishi mbona tuonje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…