Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Aisee kumbe tamu kuzidi Ngono mkuu unatushawishi mbona tuonjeUtamu wa hii dawa unaenda kwenye sehem ya ubongo au dopamine , pale ndo panapompa mtu raha ,, sasa kivipimo madawa ni zaidi ya mara ishirini kuzidi sex (organism) na hiyo raha inakaa kwa mda mrefu tofauti na orgasm ambayo haikai hata dk mbili..