samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
We inaonyesha unapenda sana ngono hongera,mi huwa najiuliza hivi kuna kitu kitamu sana kama kusafiri nchi nyingi duniani,maana ninavyopenda acha tu.Inaonesha hii kitu tamu kuliko hata ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We inaonyesha unapenda sana ngono hongera,mi huwa najiuliza hivi kuna kitu kitamu sana kama kusafiri nchi nyingi duniani,maana ninavyopenda acha tu.Inaonesha hii kitu tamu kuliko hata ngono
Hivi kuna kitu duniani kinachopendwa zaidi ya ngono?kila mtu anapendanWe inaonyesha unapenda sana ngono hongera,mi huwa najiuliza hivi kuna kitu kitamu sana kama kusafiri nchi nyingi duniani,maana ninavyopenda acha tu.
Ni kweli ngono inapendwa sana na watu wengi,ila kwangu mimi ni ya 3 baada ya Kusafiri,Pesa halafu ndio mapenzi.Hivi kuna kitu duniani kinachopendwa zaidi ya ngono?kila mtu anapendan
Ukiusikiliza wimbo wa dear mama wa 2pac kwa haraka haraka madhara yake ndio hawa kina rashidi mama ana mapenzi makubwa kwa mwanae hiyo ni kawaida lakini mtoto anachezea moto badala ya kumkanya kwa kumkazia sauti unaleta mahaba matokeo yake ndio haya .
Hakuna mzazi apendae mwanae aharibike ila mzazi anacheza nafasi gani tusishikirie tu "tikiti bovu limo shambani mwako "
Huu ndo ukweli usio zungumzwa
mitoto mingi iliyodekezwa ndo inakuja kuwa kero kwa jamii
Mtoto kwa mama hakuiKwan chid benz ni mtoto
Aint no spoiled kid ,My mother was always there for me ,on my worst situations to the best of my situations ,
If you call that something else its ok cause you are entitled to your opinions ,to me that is unconditional LOVE
Acha kulinganisha ngono na vitu vya kijinga mkuuInaonesha hii kitu tamu kuliko hata ngono
..chidi hawez kusaidika tena
Mtoto kwa mama hakui
Msanii Kala Pina akihojiwa na E News ya EATV amesema ametumia fedha nyingi sana kumsaidia Chid Benz ila anasikitika juhudi zake hazijazaa matunda na kusema angepata msaada zaidi angefanikiwa pakubwa
Amesema yeye ndie aliyemshawishi Chid kujiunga na Sober House na angepata msaada wa kuwa na Sober House yake mwenyewe angemponyesha na kuponyesha waathirika wengi
Ameendelea kusema tatizo la dawa za kulevya ni vijana wengi na sio Chid Benz tu hivyo nguvu zinahitajika
Hapo lengo lake apate wafadhili ili aanzishe sober house yake, alikuwa anaitumia ishu ya Chid kumpa boost ila imefeliHuyu jamaa huwa analazimisha "harakati". Unapoteza vipi fedha kwenye suala ulilojitolea mwenyewe bila kuombwa, au ilikuwa investment?
Kuwasaidia hawa watu kunahitaji moyo na akili, sio maguvu kama anavyofikiria mshkaji.
Hapo lengo lake apate wafadhili ili aanzishe sober house yake, alikuwa anaitumia ishu ya Chid kumpa boost ila imefeli
Inaonesha hii kitu tamu kuliko hata ngono
Huo ni msemo tu kama ilivyo maskini jeuri usije kuuweka kwenye akili.Haina maana hata ukiwa mtu mzima umtegemee mama kuamua kwani huna akili?