MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #41
Alikuwa anajua kabsa, na kipindi tunakula nilimwambia naenda kuandaa sehemu ya kupumzika akasema sawa. Cha kushangaza naambiwa nataka kumbaka, hilo neno liliniuma sana nikaamua kumpa nauli asepe tu.Pole sana. Yanatokea sana hayo. Kabla ya kupanga chumba ulikuwa umemjulisha? Alafu mbona guest house?