Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

[emoji38][emoji38] ukiwa mwema unatoa.. dah!!!. Nimekumbushwa mbali Sana[emoji23][emoji23]
Sikutaka nimfanyie vitu vya ajabu maana kuja alikuja kwa gharama zangu so nikaona nikimnyima nauli nitakuwa sijamtendea haki. Acha nimfanyie wema japo kaniacha kwenye hali ambayo haikustahili.

Usilipeze ubaya kwa ubaya.
 
Kama huwezi kutoa si bora uniambie mapema kwa leo haiwezekani Tufanye siku nyingine kuliko kufanya yote hayo kisha unaleta madharau ya kulialia eti nataka kukubaka.[emoji23]
[emoji23][emoji23] kwenye kulia ndo kazingua. Huwezi kubakwa ukiwa lodge halafu ni above 18 [emoji849]
 
[emoji38][emoji38] alitakiwa apambanee. Bora lingekuwa geto lako ungevumilia..lakini kulipia kabisa[emoji1][emoji1]
Mnachukulia rahisi, lakini nawaambia kama demu hataki kuliwa kwa hiari yake labda ubake.
 
Kijana umri na uzoefu wako bado ni mdogo sana,,,,,hivyo usipobadilika utateseka sana....ACHA UOGA

Acha nikupe hii,,,,, Siku zote hakikisha MAPATANO PWANI,,,BAHARINI MKIFIKA NI KUVUA TU.....Nikimaanisha kabla hujaenda na demu popote hakikisha kwenye mazungumzo yenu umeweka Clear nini kinaenda kufanyika(fikisha ujumbe wako kwa njia yoyote) na hakikisha anakubali ndio muanze Safari.,,,,,Mapatano yote mzungumze mkiwa pwani,,,mkishaingia baharini iwe ni uvuvi tu,,,,na sio mpo baharini mnaanza kuulizana tena Bei ya Kibua,,,

Na mara zote ukipata Demu usianze na option za gharama,,,,anza na Cheap & straight,,,,Unaweza kula mbususu kwa laki tatu,,,,wakati kihalali ilitakiwa ule wa Elfu kumi na Saba mia tano...

Be a Man
Stay Taliban
 
[emoji23][emoji23] kwenye kulia ndo kazingua. Huwezi kubakwa ukiwa lodge halafu ni above 18 [emoji849]
Yaani analia kabsa machozi kama yote huku anatamka nataka kumbaka🙄🙄,
Yaani nijishushie heshima yangu kwa kumbaka binti wa watu kisa mbususu yake.
 
Mnachukulia rahisi, lakini nawaambia kama demu hataki kuliwa kwa hiari yake labda ubake.
[emoji1] hapana sio rahisi tunajua. Na kufosi sio jambo jema. Umetumia busara. Ila si alikupa mwenyewe go ahead kuwa kachukue room jamani?
 
Yaani analia kabsa machozi kama yote huku anatamka nataka kumbaka[emoji849][emoji849],
Yaani nijishushie heshima yangu kwa kumbaka binti wa watu kisa mbususu yake.
[emoji38][emoji38][emoji38] akiii umenifurahisha sana.
 
[emoji1] hapana sio rahisi tunajua. Na kufosi sio jambo jema. Umetumia busara. Ila si alikupa mwenyewe go ahead kuwa kachukue room jamani?
Nilimuuliza uko vizuri nikaandae sehemu ya kumpuzika tukimaliza kula akajibu ndio. Labda alijua ni kulala tu na kuamka😂
 
Back
Top Bottom