Yani mkuu mpaka wenyew wakaanza kuniuliza vipi fundi utatoboa kweli? Nikajibu nkishindwa nitaondoka nazo ofisini wakati huo nishakula msosi wa 2500 pilau spinach la kibaha na sioni dalili ya kutoboa.Wewe ndiyo mtu na nusu sasa.Una uthubutu na umejifunza kitu.Hadi uende mbinguni(Mola akujaalie) utakua na mengi ya kusimulia.
Mbona maharage matamu tu sheikh!Njaa tu mkuu, nimechoka kushindia mchuzi wa maharage
hahaha ushachanganya mafaili.Red black hujambo hapo Tegeta?
sio kweliMaharage.. sio mchuzi! Maharage mbagala jero mchuzi wa maharage mia tatu. Nakulaga mchuzi wa maharage 300 na maandazi mawili, yani hapo ndo mpaka kesho hiyo
Mzee njaa sio kitu kizuri nimejitoa kimaso maso mana nje ya hapo jana ilikuwa inapepea... nitoe rai kwa vijana kila kitu kujiongeza tuπππππππππkuna kiwanda cha rasta kinaitwa darling kipo mbagala itabidi ukakomae pale kaka. uspotengeneza radio zao watakupiga ngeta hao πππ
ila nmependa ujasiri wako
Mkuu hizo HYTERA.......Nusu waniue leo!
Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi!
Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies yani radio hazielewani!
Asee toka saa 4 nimeingia huku nimetoka nimeenda huku.. kibegi cha cha spana nikakiona kizito. Toka saa 4 nahangaika kuijua lugha ya radio call ile. Nimekuja kuponea padogo sana baada ya jaribio la ku-restore radio moja kuwezekana.
Mpaka muda huu nikiri kuuona utukufu wa mungu mana wale jamaa wangekomaa nirudishe hela yao na mm nishaibwenga. Mungu wetu sote
Kalaga baho
Habari ya Energy oil Co LtdNusu waniue leo!