Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

😂😂😂😂😂😂😂😂😂kuna kiwanda cha rasta kinaitwa darling kipo mbagala itabidi ukakomae pale kaka. uspotengeneza radio zao watakupiga ngeta hao 😂😂😂

ila nmependa ujasiri wako
Mkuu naomba utoe mwongozo kuhusu kazi hapo kiwandani kwa faida ya wengi!au muda mzuri wa kwenda kucheki kazi pale ni asubuhi ya sangapi?????
 
Mkuu naomba utoe mwongozo kuhusu kazi hapo kiwandani kwa faida ya wengi!au muda mzuri wa kwenda kucheki kazi pale ni asubuhi ya sangapi?????
Nenda jumatatu asubuhi na barua ya serkali ya mtaa ya utambulisho. Mshahara ni 55,000 kwa wiki 2
 
Back
Top Bottom