Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

Hawezi kuwa mke wa MTU bwana....mbona kajiachia hivyo....Dogo endeleza kwa wakati
 
haawezi kuwa mke wa mtu kwa style iyo...watakuwa labda aliachana na mumewe....uyu si ndo yule pacha wa mainda uyu...
 
View attachment 259084huyo mwenye mke hajui kama walifunga harusi pale st peters last month?huyu demu cheche la mjini mara ya mwisho kalala kapigana na casto wa clouds tv wanamgombania,nasikia anahonga kweli

Na kalala anavyopenda kulelewa.
mhhh pia muna muuza unga tu
 
.......... Jinsi penzi lilivyogeuka na kuwa sumu naona kizunguzunguuu................
 
hahaha mwenye mke yupo.
Hajui chochote kinachoendelea.
Hakuna mtu anaweza labda kumdokeza.
Na anampenda saaaana dada huyu.
Akiproof anaweza akajiondoa duniani.

akiproof >aki prove
 
Demu mwenyewe hajielewi hata ningekuwa mie ningebutua heri lawama kuliko fedhea
 
mkuu mke wa mtu ndo analika tena vizuri dada mwenyewe mwajuma ndala ndefu,MKE WA MTU SUMU,BASI MME WA MTU MAZIWA.na kaa ukielewa mke wa mtu uliwa na mtu.
 
Duh kama mke wa mtu anakua ivi basi neno mke litafutiwe tafsiri mpya haraka.

Wacha nijaribu. "Mke ni mwanamke aliyeolewa, anayejiheshimu, anayeheshimu ndoa yake na ambaye yuko tayari kufanya lolote lile kuilinda ndoa na familia yake huku akiheshimika na jamii"
 
huyo peter nasikia kalishwa vitu vya ajabu so kawa kama msukule hivi aongei kitu mbele ya MUNA kwa kifupi huyu mdada ni mtu hatari saana na mganga wao ni mmoja na huyu LULU
 
Kumbe huyu ndio munaalove100 wa ig anaetukanwa na badilika ubadilishwe?
Why anamfanyia mmewe ivo?
Makubwa!
 
Thanx!huyu mke wa mtu ambaye hajielewi wacha tu aliwe,utapigaje picha hivyo na ukaruhusu zirushwe??!

Mcharuko tu huyo dada wacha wamle wajanja.

Huyu kumbe ndio dadake lulu wa hiari naona wanatukanwa sana insta now
Nasikia huyo muna muuza ngada.
 
munalove 100 huna hata la kusema, wenzio umbeya umetukalia kooni warumi hivi huyu badilika ubadilishwe sio dougie masta kweli
Kwa maana dougie now anashindwa kutukana watu kwa account yake Wema amempiga stop kutukana kwa account ile.
 
Last edited by a moderator:
Siku cjui kwa nn wake za watu wanajirahisha kuliko hata mabinti wadogo.....hila sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…