Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

munalove 100 huna hata la kusema, wenzio umbeya umetukalia kooni warumi hivi huyu badilika ubadilishwe sio dougie masta kweli
Kwa maana dougie now anashindwa kutukana watu kwa account yake Wema amempiga stop kutukana kwa account ile.

Mmmh yani hyo badilisha ni kiboko,alinichambia lulu juzi kati dah sidhan kama ana hamu nae, yule sio dog masta
 
Last edited by a moderator:
Mmmh yani hyo badilisha ni kiboko,alinichambia lulu juzi kati dah sidhan kama ana hamu nae, yule sio dog masta

Naniii
Anachamba wima wima kama ana jini kichambo.naoa Munalove yupo humu Yeye hajibu kama Linda..
 
Back
Top Bottom