Kalala vema anaona kabisa vizuri ila kaamka ni kipofu. Nini Tatizo?

Wahini hospitalini ndugu. Haya ni mambo ya kitalaamu. Watalaamu wako hospitali.

Mola awatangulie.

Given a chance huko atapona.

Poleni sana.
Tunaelekea huko now! Nilitaka mwenye exprience atupe where to begin!
 
Ungesema ingekuwa poa sana.
 
Nina ndugu yangu huwa ana tatizo la kisukari. Amekuwa aki -icontrol vizuri tu with medication as usually is controlled by many.

Kalala vema anaona kabisa vizuri. KUAMKA NI KIPOFU.

Nini kimetokea na remedy/treatment ni ipi?

Kutokana na historia ya sukari, kama haikuwa controlled vizuri:

1: sababu zainazosababisha kwa taratibu: kumekuwa na mabadiliko ya taratibu.

2: sababu za ghafla macular edema/kujaa maji na protini au bleeding/kuvujia damu inaweza kuwa sababu.

Aende sehemu ambayo kuna ophthalmologist/daktari bingwa wa macho hospitali kama CCBRT, MUHIMBILI, REGENCY, HINDU MANDAL VS AGHA KHAN KUBWA.
 
Asante sana. Yupo karibu kufika hospital.....
 
2018 12 March
Daktari bingwa wa macho kutoka hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam Dkt. Cyprian Ntomoka amewashauri watanzania kujenga tabia ya kupima afya ya macho kutoka na wagonjwa kumi wanaofika hospitalini hapo kupimwa magonjwa mbali mbali ya macho wanne kati ya hao wanagundulika kuwa na presha ya macho.


View: https://m.youtube.com/watch?v=XTSYkiDZp0I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…