Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
KALAMU YA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA
''Lakini Abdallah Laatasi, ambaye ni mjukuu wa Diwani Omar Laatasi, anakumbukwa zaidi katika mchango wake katika kufanikisha kupatikana uhuru wa nchi hii; kwani yeye na hayati mkewe Bi Chiku bint Said Kisusa (Mama Sakina); walikuwa mstari wa mbele kukijenga chama cha TANU ambacho ndio kilicholeta uhuru.''
(Shajara ya Mwanamzizima: ''Mjue Abdulshakur L'Aatasi wa Mkadini Mzizima'').
PICHA:
1. Shariff Abdallah Omar Attas
2. Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Attas akimsindikiza Rais wa TANU Julius Nyerere safari ya kwanza UNO akiwa na Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee na Nyerere ni huyo hapo katikati 1955.
Watoto wawili wa Bi. Chiku walikuwa walimu katika shule ya AlJamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) Mwalimu Sakina bint Arab na Mwalimu Fatna bint Arab.
Dhifa ya kumuaga Julius Nyerere ilifanyika kwenye jengo la shule ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika New Street na Stanley.
Jengo hili lipo hadi leo lakini limetaifishwa na serikali na juhudi zote walizofanya Waislam kuiomba liridishwe kwa Waislam zimegonga ukuta.
3. Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika)
Dhifa ya kumuaga Julius Nyerere safari ya kwanza UNO 1955 ilifanyika kwenye jengo la shule ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika New Street na Stanley.