Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
FC Bravos in Build-up na 2-4-1-3 yao wamecheza vizuri sana dakika 45 za kwanza kwa kuzuia hatari za mpinzani wao hasa ndani ya 18 na kucheza muda mwingi kwenye Nusu yao! Kuanzia 1 Vs 1, Accurate Passes, Sharpness + Sond Balls nyingi ndani ya eneo lao walishinda hasa katikati kwa Kagoma na Ngoma ulipo mpango wa Simba
Simba walipata ugumu sana kwenye maeneo mawili hasa wakivuka mstari pembeni na katikati kwenye Build-up...
1- Monico na Ferreira + Abednego na Macaibao hawakuacha space kubwa baina yao na ikawapa ugumu hata MH15 na Kapombe kuvuka mstari wa kati muda mwingi, Kibu na Mpanzu kazi yao ikawa kuja chini kuchukua mipira
2- Kagoma na Ngoma hawakuwa na mechi bora sana katikati, Simba ikakosa usahihi kwenye Build-up! J. C. Ahoua akapokea mipira michache hata akipata mpira yupo kwenye angle ngumu
2-3-4-1 ya Simba kwenye Build-up eneo la mwisho mipira ilifika lakini kuna muda walikosa utulivu katika nafasi ambazo wangeweza kufunga magoli! Ateba hakuwa eneo lake muda mwingi, Kibu na Mpanzu hawapati nafasi ya kufanya movements kwenye 'Half Spaces' hata krosi zao nyingi walinzi wa Bravos wakashinda huku Second Balls wakiondoa kwa wakati sahihi.
Soma Pia: FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025
Bravos usahihi wao wa kukaa kwenye nafasi ulifanya Simba kukutana na maswali magumu sana sababu hata walipopoteza mpira walikuwa haraka kurudi kwenye maeneo yao sahihi!Simba wakabaki kupiga Long Balls nyingi nyuma ya Francis na Edmilson lakini bado usahihi ulikuwa chini
2ND HALF! Simba nguvu yao kushambulia ikabaki ni maeneo ya pembeni zaidi ambapo bado FBs na Runners wa Bravos hawakuacha space kubwa baina yao! Sub, anatoka Mpanzu anainngia Chasambi: Hapa lengo la Fadlu David's ni kuongeza nguvu kwa Ahoua ili kuwafungua Bravos ambao wana idadi kubwa ha wachezaji katikati.
THIRD EYE. 📝
• Mnyamaa anaenda Robo Fainali ✅
• Mpanzu uharaka wake na karibu 18 yupo vizuri sana 🔥
• A. Hamza kuficha makosa ya wenzake yupo vizuri sana 💪
• Kibu energy yake uwanjani 🔥! MH15 ✅! Camara saves zake 👏👏
• Abednego Mosiatlhago his sharpness + positioning 🔥! Ateba na goli muhimu ✅
NB:Kama Robo Fainali rahisi nendeni na nyie 😀
FT:FC BRAVOS 1-1 SIMBA SC.
Let's Goo!!.