Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
You asked,"Hizo a lot of sources of revenues ni kama zipi?"Hizo a lot of sources of revenues ni kama zipi? Mbona Kodi tuu ya pango hamtaki kulipa,ukienda dukani hutaki kudai risiti nk nk..
Hizo toll taxes zimekuwa zikitozwa kwa sie wanavijiji kwenye mazao yetu over years na kujenga Mjini..Sasa ni zamu ya Wa mjini kulipa tozo by whatever naming it ila pesa ipatikane na iounguze adha Vijijini..
1.Mipaka:Yapo magari mengi yanayopita huko,yatozwe Kodi,tena in US Dollars.
2.Bandari in many areas.Kwa mfano hata meli zinazotumia Bandari zetu zitozwe Kodi vizuri na kuwe na udhibiti mzuri wa MATUMIZI.Ilivyo Sasa mm,upo uvujaji mkubwa wa mapato na MATUMIZI mabaya mno.
3 Bidhaa mbali mbali zisizo za muhimu,kama vileo,s
,Cosmetic off all kinds,decorations of all kinds,simply chochote ambacho sio muhimu for life niongezewe kodi,including magari madogo.
3.Meli za uvuvi kwenye bahati zetu za wazi,zitozwe Kodi.
4.Viwanja vya ndege.Hata Ndege zinazotumia viwanja vyetu zitozwe Kodi.
5.Utalii:Hapa pia Kuna hela.Tuangalie jinsi ya kupata hela hapa.
6.Uchimbaji wa madini:Hapa pia Kuna hela.Tuangalie jinsi tunavyoweza kupata fedha hapa,najua zipo.
7.Kilimo hasa wawekezaji na waagiza bidhaa.Tuangalie modalities za kupata fedha hapa.
8.Viwanda.Vipo viwanda muhimu na visivyo vya bidhaa muhimu,tuangalie jinsi ya kupata fedha zaidi kwenye viwanda visivyo vya bidhaa muhimu.
To me hawa watu wetu waki-brainstorm zaidi naamini tutapata fedha nyingi sana,hata kuliko ambazo tunapata kwenye tozo.To me this is Poll Tax,nothing less,which takes us back to the colonial era,which is shameful indeed.
Labda nimalizie kwa kutoa angalizo.Ukusanyaji wa mapato Ni swala lingine na MATUMIZI Ni swala lingine.Hali ilivyo sasa ni kwamba ukusanyaji ni mbovu, matumizi ni mabovu na vyanzo ni vichache.Tufanye Nini?Tuhakikishe kwamba tuna-maximize vyanzo,kutoka kwenye hivyo vyanzo tuna-maximize mapato,halafu tunatumia mapato yetu vizuri.If we do that hatutakuwa na haha ya "Poll Tax" kwa wananchi wetu.Already they are heavy burdened by taxes.