huyu alikuwa mkorofi Sana na Ngumi anazijuwaRIP Thomas Mashali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu alikuwa mkorofi Sana na Ngumi anazijuwaRIP Thomas Mashali
Hvi kuzaliwa town ndo ujanja au ???yaan mm hua nashindwa kuwaelewa hawa wabaosema watoto wa mjin kumbe ndo mifara no moja kazi kusema mm wa town arafu huku linazeekea kwenye nyumba ya wazaziRoma mbwiga tu, kwao Duga Maforoni huko. Angekuwa mtoto wa jiji asingebakwa wanamgambo.
Roma mbwiga tu, kwao Duga Maforoni huko. Angekuwa mtoto wa jiji asingebakwa wanamgambo.
Hahaha na wenyewe wana akili lazima wanakua wanajua mtu wanaemfuata sasa mtu kama kalapina wanajua mtata hawawezi kumfuata kama walivyoenda kwa roma.Hamna wale jamaa ni watamu tu wakikutana na walaji kama Kalapina, hebu niambie kijana mzuri kama yule aliyemuonyeshea bastola Napeh yule anachapwa vizuri tu labda akurushie risasi mwilini.
Hvi kuzaliwa town ndo ujanja au ???yaan mm hua nashindwa kuwaelewa hawa wabaosema watoto wa mjin kumbe ndo mifara no moja kazi kusema mm wa town arafu huku linazeekea kwenye nyumba ya wazazi
Huu uandishi gani?????Imekaa viba hii bado haijatulia ila siku hiyo ndio utaona kuwa iko kwenye box halafu inatingishika
We kali p endekea kuwa tukana ili uwachokonoe waje wakutie kifweni
Arafat Ngumi jiwe akasahau kua tGO ni laini tu haikomai kua jiwe kama jina lake.Huyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.
Ushaambiwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naongezea hakuna nyama ngumu mbele ya njugu/risasiWewe mkaka pina ni mtukutu na mtata balaa hawa askari wetu hawamuwezi kabisa
Wewe mkaka pina ni mtukutu na mtata balaa hawa askari wetu hawamuwezi kabisa
Arafat duh!Huyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.