Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 399
Nimeshtuka nilipo ona tangazo eti kua sasa utakua unapiga harakati zako za kupinga matumizi ya madawa kupitia kutangaza Clouds TV..
Kwa kifupi umeajiriwa na hao watu wa Clouds kama mtangazaji mpya.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa harakati zako hazijakua wala nini, bali zimedumaa na sasa umegeukia fursa, maana naona umeanza kushtuka kuwa watoto wadogo kama akina Yong Killer na Yound D, madogo kama akina Neema wa Mitego, akina Stamina n.k wanawin life kwa kusanda mbele ya Clouds ndio na wewe ukaona usizeeke maskini.
Pia nasema harakati zako zimedumaa kwa idea kwamba hakuna dili jema kati ya msanii wa kibongo na kampuni ya Clouds, kila dili pale linakua na mazingira ya upigaji, ubinafsi na unyonyaji, wenyewe huita FURSA.
#Kalapina umeanza usaliti kimia kimia..