Kalapina, harakati zako hazijakua, umeanza kuwa 'Mdebwedo'

Kalapina, harakati zako hazijakua, umeanza kuwa 'Mdebwedo'

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Nimeshtuka nilipo ona tangazo eti kua sasa utakua unapiga harakati zako za kupinga matumizi ya madawa kupitia kutangaza Clouds TV..

Kwa kifupi umeajiriwa na hao watu wa Clouds kama mtangazaji mpya.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa harakati zako hazijakua wala nini, bali zimedumaa na sasa umegeukia fursa, maana naona umeanza kushtuka kuwa watoto wadogo kama akina Yong Killer na Yound D, madogo kama akina Neema wa Mitego, akina Stamina n.k wanawin life kwa kusanda mbele ya Clouds ndio na wewe ukaona usizeeke maskini.

Pia nasema harakati zako zimedumaa kwa idea kwamba hakuna dili jema kati ya msanii wa kibongo na kampuni ya Clouds, kila dili pale linakua na mazingira ya upigaji, ubinafsi na unyonyaji, wenyewe huita FURSA.

#Kalapina umeanza usaliti kimia kimia..
 
Leta ushahidi unaonesha clouds inavyowanyonya wasanii

Ushaidi kawaulize akina jide, fidq, pfunk, blue, alikiba, dmond, uwoya(alianzisha kipindi kikakosa watazamaji wakampiga chini), mapacha wa vinega, rama d, mtu mzima sugu, ben pol, amani, lina n.k

Wewe utakua mgeni kwenye tasnia hii, maana kusoma hujui hata picha uoni..
#use common sense
 
Jide unavyomuona amekamilika? Anapiga kelele wenzake wapo kimya usikute yy ndio mwenye makosa

Uwoya !! Je ingekua ww ndio unamiliki kampuni kama clouds alafu kuna kipindi akina watazamaji je ungekiacha kiendelee? Na je uwakika kua kilipigwa chini unao ?

Blue,kiba,mond,fidq,benpol na linah wana ugomvi na clouds ?

Sugu na team yake ni mimoshi ya ganja inawasumbua plus stress mziki ulivyowakataa !!

Alafu vituo vya radios na TVs vipo vingi TZ kwani kuna ulazima Wa kupeleka kazi zao clouds ikiwa wananyonywa ?
 
Ngoja nije nikupe majibu kwa details
 
Hip hop bilaa madawa inawezekana. Mi ndo nabii coco aka kalapina we mkalibari,ntakupiga miguu ya shingo,kamuulize dudu baya nilimpiga washigeni
 
Ngoja nije nikupe majibu kwa details
Acha fix wewe... majibu uyatolee wapi! Kwanza angalia unavyojichanganya... oh, Uwoya kaanzisha kipindi kikawa hakina watazamaji wakamtimua! Hivi we unafahamu taratibu za reality show? Kwahiyo ukiona Wema Sepetu na My Shoes yake cjui kufanya nini ndo unadhani ameajiriwa na EATV? Hata wewe kama una idea na unaweza kufanya production ya kipindi husika, utapewa nafasi kama ilivyo kwa huyo Kala Pina, Uwoya na wengine wengi tu na ikiwa una bonge la idea na ukapata na wadhamini, utapewa airtime hata CNN!!!
 
Njaa ya Bongo haiwez kukuruhusu ufanye Underground Hip-Hop!!!!
 
Bongo wasingepaweza kabisa, mfumo wa Music industry ya bongo, Hauruhusu!

Sure mkuu ila umenikumbusha mbali sana hiyo ID yako,mos definite ni mtu naemkubali sana niliona video moja yupo guantanamo sijaelewa ni kwamba alikamatwa au alikua anafanya demo ya jinsi wafungwa wanavyoteswa guantanamo!
 
Jibu.jpg
 
Back
Top Bottom