Kalapina, harakati zako hazijakua, umeanza kuwa 'Mdebwedo'

Jide unavyomuona amekamilika? Anapiga kelele wenzake wapo kimya usikute yy ndio mwenye makosa

Hajakamilika kwa kiwango gani? Makosa yake nini?

Uwoya !! Je ingekua ww ndio unamiliki kampuni kama clouds alafu kuna kipindi akina watazamaji je ungekiacha kiendelee? Na je uwakika kua kilipigwa chini unao ?

Kwanza nisinge toa ruhusa ya kurusha kipindi kisicho na future na kinachoweza kuniharibia soko!
Pili siwezi kumiliki media kwa mfumo wa clouds.

Blue,kiba,mond,fidq,benpol na linah wana ugomvi na clouds ?
Usisubiri ugomvi ndo ujue kua watu wananyonywa, kama hujui hao jamaa wanalaximika kufanya na clouds kwa maslah duni basi hata wahsika wenyewe wakikwambia unaweza kuwabishia.

Sugu na team yake ni mimoshi ya ganja inawasumbua plus stress mziki ulivyowakataa !!
Aliokwambia moshi wa ganja ndio vinavyo wasumbua nani? Mziki unawezaje kumkataa mtu? Kwani mziki ni mtu au kitu chenye option ya kutaka na kutaa?

Alafu vituo vya radios na TVs vipo vingi TZ kwani kuna ulazima Wa kupeleka kazi zao clouds ikiwa wananyonywa ?
Swala lako la vituo kibao vya burudani, linanipa mashaka yakile unachoamini ktk issue hizi.
 
Hip hop bilaa madawa inawezekana. Mi ndo nabii coco aka kalapina we mkalibari,ntakupiga miguu ya shingo,kamuulize dudu baya nilimpiga washigeni
Ushakua mdebwedo nabii koko, hata hiyo ngumi sijui kama unaweza kurusha?
 

Kwanza ungedeclare interest kuhusu clouds maana nakuonaga unawatetea kinoma sijui wewe ndo walewale maana hata hii ID yako nna wasiwas kwakuo nakufananisha na yule jamaa wa tmk..
Tofautisha kipindi cha uwoya na hizo swaga za kuuza kipindi hata cnn, kama hujui uliza uelekezwa kwa uwoya ilikuaje!
Nitake radhi wewe mimi siangaliagi vipindi vya huyo mwanakutoka paya Wema so sina comment juu ya huo ujinga wake sijui in my shoes, sijui in my a. s. s... Not me plz!
 
Aisee we jamaa ni wa ajabu sana! Hizo unazoita zama za Uwoya ni zipi wakati kipindi cha Uwoya ndani ya Clouds ni cha miaka ya karibuni kabisa? Narudia, hata wewe leo hii ukiwa na wazo zuri na unaweza kuzalisha kipindi na ukapata wadhamini, utapewa air time kwenye any tv station provided content yake inakubalika kwao! Kuwa na kipindi kwenye tv station haimaanishi umeajiriwa na kituo husika!

Naona unatoka povu kuhusu kipindi cha Wema... hakuna aliyekuambia kwamba unaangalia hicho kipindi issue ni kwamba kuwa na kipindi tv sio lazima uwe umeajiriwa and so said, Kalapina ikiwa Kalapina nataka kuwa na kipindi Clouds haimaanishi ndo ameshakuwa mwajiriwa wa Clouds!

Mwisho, naona umekuja na hoja za wale ambao wakiishiwa hoja wanakimbilia kusema "una maslahi na kitu fulani...!" Hizi ni hoja dhaifu na wale wanaozipenda bila shaka ni ambao hawawezi kuusimami ukweli pasipo kuwa na maslahi binafsi! Unahoji kwamba jina langu linafanana na bila shaka na Chege.... sasa nijuze, ina maana huyo Chege ana maslahi pale Clouds? Kumbuka ulichokuwa umesema ni hiki:
Ngoja nije nikupe majibu kwa details
Kwa jibu ulilotoa kwenye post #21 hakuna details zozote ulizotoa zaidi ya kujibu kwa kuuliza maswali... toa hizo details!
 

mmmmm.hhhhhhhhh
miss uuu
 
Sure mkuu ila umenikumbusha mbali sana hiyo ID yako,mos definite ni mtu naemkubali sana niliona video moja yupo guantanamo sijaelewa ni kwamba alikamatwa au alikua anafanya demo ya jinsi wafungwa wanavyoteswa guantanamo!

hahahahah!!!!

Bro unamkubali sana YASIIN BEY siyo!!!!!!

Inapendeza sana!!!

Ile ilikuwa ni video ambayo ni "dongo" kwa Nchi yake (USA) kuhusu ile ishu ya Guantanamo Force feeding programs!!!

Ilikuwa imeAim sana kuelezea inhuman Activities zinazofanywa na USA kule Guantanamo bay, ye alikuwa amebase katika suala nzima la kuwafeed/kuwalisha wafungwa against their will, baada ya kuanzisha ule mgomo wa Kutokula!!!

Ni easy kukitamka, lakin ilikuwa ni zaid ya Hapo!!! unaelewa nikisema kutumia "Force" nadhan!!!
 

Nimekusoma mkuu asante kwa kunielewesha!!
 
Njaa ya Bongo haiwez kukuruhusu ufanye Underground Hip-Hop!!!!

Inategemea na determination Ya msanii na hadhira! Arusha Mbona kuna underground kibao na wanasurvive wako wasanii wanategemea kuuza mixtapes na show za via via na Maasai camp zinawatoa... Watengwa wameanza Kuanzia 1996, na underground movement ndo zimewapa Shavu... Kuna (KCK kid can kill)bucks na spark mbwa ni maunder ground lakini hata mastaa wanasanda na hawajagive up!!
Shout to Save Underground Artist (SUA)...
 

Bro, Underground Hip-Hop is More than That Aisee!!!

Ninaposema, music industry ya Tanzania, hairuhusu Underground Hip-hop kuoperate widely, namaanisha Coverage ya msanii na mapato pia!!!

Nitakupa Mfano.

ImmortalTech ni one of the ILLEST underground Emcee, ambaye anafanya Kazi zake independently kutoka Viper Records, Lakin ana Coverage kubwa sana Worldwide..anafanya TOUR zenye mafanikio America, Europe mpaka Asia, na Hata Tz asilimia kubwa ya Vijana wanaofatilia Hip-hop walau kwa undan kidogo wanamjua ImmortalTech..

Kwanini imekuwa hivyo?

Kwasababu mfumo wa USA, unamruhusu kufanya kazi as an independent Artist, industry ya USA haina mfumo dume bro, operation ya Music imegawanyika katika matawi tofauti, Hauhitaji kubadilika ili kuvuta attention au kuendana na Mfumo ambao unatawaliwa na Master mmoja..na kingine Mfumo wa music hapa bongo ni TEGEMEZI, wasanii wenyewe ndo wameufanya uwe hivyo bro!!! JCB got a wide Coverage Tz nzima baada ya "ukisikia paa"..na ilimbidi ajitune katika Mainstream Rap system kufit the Bill...(hii ndo industry ya Bongo)..

Na kitu kingine Broda, ni kwamba A rapper, can never be an Emcee and An Emcee siyo lazima aoperate katika mfumo Andaki (i mean, awe underground Emcee)..

Nas Escober, ni the Illest Emcee lakin Siyo Underground Emcee!!

So selling Mixtapes, na kuwa na Vilinge, haikufanyi uwe underground Emcee, Underground Hiphop is More tha HipHop itself, thats why ikaitwa "underground", ImmortalTech mambo anayoPreach sahiv angekuwa kwenye label yoyote (recoginized label) asingeweza kufanya hivyo..labels zipo kibiashara na Underground HipHop ni Anti-commercial Shit!!!

Underground Hip-Hop, ni about Movements, kutoa mixtapes na kufanya shows Masai Camp au kuanzisha Vilinge, hakudefine maana halisi ya Movements, coz kile ambacho unapreach kinawafikia wangap?? mixtapes zinaenda umbali gani??? (hapa nawaongelea hao Kid can kill)..movements unazofanya zinaInfluence wangapi??? vilinge syo movements hizo ni Activities mojawapo za HipHop, (free-styling, B-boy, graffit etc) hizo ni elements au Activities ambazo zinaijena ile dhana nzima ya Culture katika Hip-hop...Emcee'ng, Culture na Movements ni vitu vi3 tofauti...Movements ni pamoja na kuipa mwanga jamii, kuitambulisha jamii ya Hip hop kwa watu tofauti..kufanya Vilinge huku mpo maskani ni kama kuziEffect zile elements za Hip-Hop tu, lakin Kuanya Vilinge pamoja na kupreach About Hip Hop katika kuiconvince Jamii kubwa ya watu kuhusu Hip-Hop hiyo ni baadhi ya Movements, hivyo ndo wanavyofanya kina ImmortalTech, Brother Ali etc...

Underground HipHop, usiichanganye na Some HipHop Activities tu za kitaani!
 

afu!! underground Artist ni tofauti kabisa na Underground Hiphop (Mfumo andaki)..
 

Sioni pointi ya kujadili ktk maelezo yako hapa, naona mipasho tuu.
Any way mi ndo nsha sema kua kuna unyonyaji hapa wa waziwazi otherwise subiri hao uliowasikia wakija kulalamika this time in future ndio utaamini nani anatoka povu kati yangu na wewe.. Consider that is a few deails!
 
Aisee unachekesha, sema hujui tu! Niliowasikia wapi? Mara jina langu linafanana na Chege... vp jombaa??!! BTW, nitawasikia akina nani? Hao akina Uwoya, Sugu, Blue, Kiba, Mond, Fidq, Ben Pol, au akina nani hasa? Hivi we kweli unafuatilia game la muziki wewe? Yaani unamtaja mtu kama Young Killer kwenye huu uzie wakati Young Killer mwenyewe ni product ya Clouds? Remember, here is your post:
Ngoja nije nikupe majibu kwa details
Weka hizo details, kama huna, piga kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…