Inategemea na determination Ya msanii na hadhira! Arusha Mbona kuna underground kibao na wanasurvive wako wasanii wanategemea kuuza mixtapes na show za via via na Maasai camp zinawatoa... Watengwa wameanza Kuanzia 1996, na underground movement ndo zimewapa Shavu... Kuna (KCK kid can kill)bucks na spark mbwa ni maunder ground lakini hata mastaa wanasanda na hawajagive up!!
Shout to Save Underground Artist (SUA)...
Bro, Underground Hip-Hop is More than That Aisee!!!
Ninaposema, music industry ya Tanzania, hairuhusu Underground Hip-hop kuoperate widely, namaanisha Coverage ya msanii na mapato pia!!!
Nitakupa Mfano.
ImmortalTech ni one of the ILLEST underground Emcee, ambaye anafanya Kazi zake independently kutoka Viper Records, Lakin ana Coverage kubwa sana Worldwide..anafanya TOUR zenye mafanikio America, Europe mpaka Asia, na Hata Tz asilimia kubwa ya Vijana wanaofatilia Hip-hop walau kwa undan kidogo wanamjua ImmortalTech..
Kwanini imekuwa hivyo?
Kwasababu mfumo wa USA, unamruhusu kufanya kazi as an independent Artist, industry ya USA haina mfumo dume bro, operation ya Music imegawanyika katika matawi tofauti, Hauhitaji kubadilika ili kuvuta attention au kuendana na Mfumo ambao unatawaliwa na Master mmoja..na kingine Mfumo wa music hapa bongo ni TEGEMEZI, wasanii wenyewe ndo wameufanya uwe hivyo bro!!! JCB got a wide Coverage Tz nzima baada ya "ukisikia paa"..na ilimbidi ajitune katika Mainstream Rap system kufit the Bill...(hii ndo industry ya Bongo)..
Na kitu kingine Broda, ni kwamba A rapper, can never be an Emcee and An Emcee siyo lazima aoperate katika mfumo Andaki (i mean, awe underground Emcee)..
Nas Escober, ni the Illest Emcee lakin Siyo Underground Emcee!!
So selling Mixtapes, na kuwa na Vilinge, haikufanyi uwe underground Emcee, Underground Hiphop is More tha HipHop itself, thats why ikaitwa "underground", ImmortalTech mambo anayoPreach sahiv angekuwa kwenye label yoyote (recoginized label) asingeweza kufanya hivyo..labels zipo kibiashara na Underground HipHop ni Anti-commercial Shit!!!
Underground Hip-Hop, ni about Movements, kutoa mixtapes na kufanya shows Masai Camp au kuanzisha Vilinge, hakudefine maana halisi ya Movements, coz kile ambacho unapreach kinawafikia wangap?? mixtapes zinaenda umbali gani??? (hapa nawaongelea hao Kid can kill)..movements unazofanya zinaInfluence wangapi??? vilinge syo movements hizo ni Activities mojawapo za HipHop, (free-styling, B-boy, graffit etc) hizo ni elements au Activities ambazo zinaijena ile dhana nzima ya Culture katika Hip-hop...Emcee'ng, Culture na Movements ni vitu vi3 tofauti...Movements ni pamoja na kuipa mwanga jamii, kuitambulisha jamii ya Hip hop kwa watu tofauti..kufanya Vilinge huku mpo maskani ni kama kuziEffect zile elements za Hip-Hop tu, lakin Kuanya Vilinge pamoja na kupreach About Hip Hop katika kuiconvince Jamii kubwa ya watu kuhusu Hip-Hop hiyo ni baadhi ya Movements, hivyo ndo wanavyofanya kina ImmortalTech, Brother Ali etc...
Underground HipHop, usiichanganye na Some HipHop Activities tu za kitaani!