kalapina ni mkali, ila mi ananiuwa kuwashobokea clouds fm
Hana jipya,Kikosi kilikuwa hai kipindi cha Hashimu Dogo sio sasa,Kalapina ni msanii mwenye njaa ndio maana amekubali kuwasujudia clouds fm ili apate show na kuendelea kusikika na watu.Kikosi cha mizinga kimebakiza jina tu Pina na Nasibu wanaendesha kundi kibabiloni ndio maana watu wengi wameondoka kikosi.
kalapina ni mkali, ila mi ananiuwa kuwashobokea clouds fm
huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu msalaba...'' .inafahamika yeye ni Muislamu sasa sijui maneno haya kwa nini anayapenda sana?
Hashim Dogo mwendawazimu rudi kwenye gemu heshima irudi vijana wanatukana kambi