Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!

Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!

Peace kwa vinega kwa kila movement mnayofanya.Mzuka sana kwa Umbwa Lotuno kwa kujiunga vinega. Itakuwa fresh kama utamfundisha Pina hip hop, nakumbuka track yako ya si lazima uliposema, "Hip hop ni Mwanza na Arusha,dar mnatuyeyusha, mara maemsii mashoga, maemsii waoga, battle kwa sana mpaka Hip hop irudi,msitetereke kama wakurdi". Pa1 sana vinega!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hip hop ya mtaa inahitaji akili sana, huwez kukurupuka ukasema unafanya sanaa, kama unataka beto kuwa mvumilivu wa kero
 
huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu msalaba...'' .inafahamika yeye ni Muislamu sasa sijui maneno haya kwa nini anayapenda sana?

hana tofauti na mullahs wengine huyu
Pia niliskia anagombea udiwani kwa tiket ya chama flani,shida ndizo zinazompa tabu
 
Nakumbuka long tym nasoma pale green acreas nilikua kipenzi sana cha kikosi kwa ujumla......nilidiliki hata kuwa suport kwa kazi zao na nilipenda sana kwenda block 41.......kula laza na mabushabu school wakanipa jina la 'Adui bin fisad' ila mpaka leo nashindwa kuelewa ni nini kilinifanya kuichukia kikosi cha mizinga..........ila lawama zote ni kwa nabiii koko......sasa mimi ni kinega mkereketwa........
 
yani jamaa alipoandika barua ya kuomba msamaha Clouds kwa kosa walilomfanyia wao,kila mtu alimdharau...hadi Hashim dogo mpaka kesho anamcheka uyu jamaa..unajua kwa wasio mjua Pina wanamchukulia bonge moja la kamanda kumbe mweupe tu,utoto mwingi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kalama ni mdini kupindukia mimi huwa nashangaaa anavyojiita Kikosi wakati alisha hama kikosi, kikosi kimemtenga kwa sababu ya mamboyake ya kujifanya mgomvi wakati alikuwa anawategemea kikosi wamsaidie aanzishe ugomvi. Toka kikosi asili wamtose sijawahi sikia kaanzisha vurugu, hata Nakoz walikuja mpa kichapo Block 41 KITU AMBACHO kisingewezekana kama angekuwa na kikosi asilia.
Jamaa ni CUF asiyekuwa na akili, Hashim na Mzoba walimtosa (hawa ndio walikuwa viongozi wake na waislam wa kweli wakiishi uislam na kuongea uislam kamwe si wagomvi ila ukiwachokoza hesabu umeumia) Hashim Dogo mwendawazimu rudi kwenye gemu heshima irudi vijana wanatukana kambi
Hivi Hashim yupo??
 
Kalapina a.k.a Nabii koko...ni mdini kweli..kama alivyo Hashim dogo..na si Pina Tu kikosi chote wana itikadi hiyoo ya kidini

ila tatizo la Pina ni kujifanya yeye Frontline kila kitu

Ishu ya yeye na clouds jamaa alihaidiwa kipindi cha Tv cha Hip hop..kipindi kile anafanya Hip hop bila madawa

Kwanini Pina hayuko na Vinega?

Pina Anadai wakati yeye anafanya harakati zake za kudai haki ..eti wasanii( VINEGA)..hawakumpa sapoti...kasahau kuwa alikuwa anawapiga baadhi ya wasanii...

Nitarudi....
Mkuu hebu rudi tafadhali
 
Back
Top Bottom