Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!


hip hop ya mtaa inahitaji akili sana, huwez kukurupuka ukasema unafanya sanaa, kama unataka beto kuwa mvumilivu wa kero
 

hana tofauti na mullahs wengine huyu
Pia niliskia anagombea udiwani kwa tiket ya chama flani,shida ndizo zinazompa tabu
 
Nakumbuka long tym nasoma pale green acreas nilikua kipenzi sana cha kikosi kwa ujumla......nilidiliki hata kuwa suport kwa kazi zao na nilipenda sana kwenda block 41.......kula laza na mabushabu school wakanipa jina la 'Adui bin fisad' ila mpaka leo nashindwa kuelewa ni nini kilinifanya kuichukia kikosi cha mizinga..........ila lawama zote ni kwa nabiii koko......sasa mimi ni kinega mkereketwa........
 
yani jamaa alipoandika barua ya kuomba msamaha Clouds kwa kosa walilomfanyia wao,kila mtu alimdharau...hadi Hashim dogo mpaka kesho anamcheka uyu jamaa..unajua kwa wasio mjua Pina wanamchukulia bonge moja la kamanda kumbe mweupe tu,utoto mwingi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi Hashim yupo??
 
Mkuu hebu rudi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…