Kalenda ya mashindano ya 'CAF 2020/2021', imetoka rasmi

Kalenda ya mashindano ya 'CAF 2020/2021', imetoka rasmi

Mi huwa naangalia najaribu kulinganisha, hivi team Kama zesco ukitazama wanatuzidi kipi? Lakini kucheza CL kwao Ni kawaida( kuanzia group stage).

Inatakiwa Simba ijitahidi kufocus kwenye CL competitions ili club ijiendeshe kwa faida.
Mkuu ata AS Vital Club, ni timu ambazo hatua za makundi haziwasumbui, nasi itabidi tuige mifumo yao. Ili tutengeneze soko kwa Kilabu chetu #Simba Sc
 
Back
Top Bottom