Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sisi tunataka kusikia hao waliong'oa hizo bendera wameshavunjwa viuno na kutobolewa macho mbona Bavicha Iringa mnakuwa wapole bila sababu za msingi? Jino kwa jino ndiyo kanuni muafakaHii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione
Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza .
Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA
Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA[emoji419][emoji375]Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione
Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza .
Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA
Ushahidi utauona baada ya ubaya kulipwaMalalamiko propaganda fc leta ushahidi!
wanamdanganya.....bahati mbaya viongozi wa ccm wanapenda kupakwa mafuta kwa mgogo wa chupaHii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione
Bado haijafahamika kama siasa hizi za Kishamba zimeletwa na Chongolo Mwenyewe au watu wa Kalenga wameamua tu kujipendekeza .
Bali tunawakumbusha tena Watu wa Kalenga kwamba , kanuni ni ile ile tu wala haijabadilika , KILA UBAYA UTALIPWA
Ushamba huo wa kushusha bendera CDM hawana. Na CDM hawawezi kuiga mambo hayo ya kishamba. Ukipoteza ushawishi na ukawa unatumia mbeleko ya vyombo vya dola zaidi, ndio utafanya mambo hayo.Aende mnyika kule na nyie mkashushe za CCM
Wanaleta haya ya akina Aden Rage..Chadema tulieni.
..CCM hawana hoja.
..Hayo yanayotokea ni mbinu ya kutaka mu-overeact ili mikutano yenu ya hadhara ifungiwe.
Vizuri unalitambua Hilo, mchadema ukishusha bendera ya CCM ujue kabisa jela inakuhusu.Ushamba huo wa kushusha bendera CDM hawana. Na CDM hawawezi kuiga mambo hayo ya kishamba. Ukipoteza ushawishi na ukawa unatumia mbeleko ya vyombo vya dola zaidi, ndio utafanya mambo hayo.
🤣🤣🤣🤣🤣ili Mtukufu Chongolo asizione
Ni kweli maana CCM bado wana siasa za kizamani na kishamba sana. Ukiwa unaungwa mkono huna haja ya kufanya siasa za kishamba.Vizuri unalitambua Hilo, mchadema ukishusha bendera ya CCM ujue kabisa jela inakuhusu.
Hatua zao utazisikia humu humuBavicha wamechukua hatua Gani au kuja kulalamika mitandaoni inatosha