Kalipia nipigwe BAN?

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Kila nikijipindua napigwa BAN. Yaani zinafukuliwa mpaka posti za zamani. Je inawezekana mtu akawalipa MoDs ili memba afuatiliwe na kupigwa BAN?
Maana huu sasa ni utani kwa sababu huwa nakosa raha kabisa nisipoweza kuchangia JF.
 
Kwani wee muda wote unajipindua tuu!![emoji86] [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…