Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wee muda wote unajipindua tuu!![emoji86] [emoji86]Kila nikijipindua napigwa BAN. Yaani zinafukuliwa mpaka posti za zamani. Je inawezekana mtu akawalipa MoDs ili memba afuatiliwe na kupigwa BAN?
Maana huu sasa ni utani kwa sababu huwa nakosa raha kabisa nisipoweza kuchangia JF.