DOKEZO Kaliua District Hospital ichunguzwe

DOKEZO Kaliua District Hospital ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,

Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.

Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.

Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.

Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.

Nawasilisha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nidondoshee namba yake kwa DM usaidike bwana mdogo
 
Kama unaogopa kujulikana andika barua ya malalamiko badili mwandiko alafu barua katumbukize kwenye sanduku la maoni la kwa mkuu wa wilaya hata kwa mkuu wa mkoa, au nenda peleka barua kwa ps vaa miushungi ili wasikujue Kuna makamera kamera, au tumbukiza posta hizo barua za malalamiko.
Aandike barua ampe bodaboda apeleke office ya mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom