hassan yahaya
Member
- Aug 27, 2022
- 35
- 37
Kaliwene mwanangu jalala ni sehemu ambapo watu hutupa takataka kutoka sehemu mbalimbali baada ya kutumia kilicho kisafi.
Kaliwene mwanangu wewe ni wakwetu sio wakwao hivyo nakuhusia mwanangu fata haya yakwetu yakwao waachie wao. Mwanangu nakupenda sana nataka nikutume kule ila kabla sijakutuma niazime sikio. Ukifika watakupokea kwa shangwe na vigeregere, nderemo na vifijo, watakupikia vinono ila chunga usije ukasahau nachokwambia. wao ni kama sisi ila wao sio sisi, wao ni wao na sisi ni sisi.
Tunachekeana tukionana kwasababu meno na mdomo Mungu ametupa sote ila usigubikwe na kicheko chao ukawaona wema. Kaliwene mwanangu haya sasa nakutuma nenda kawaambie takataka zinatupwa jalalani hapa kwetu sio jalala. Sisi ni masikini hatuna pesa ya kula vizuri, kuvaa vizuri, kuishi maisha mazuri lakini sio jalala, pia wakumbushe hata chooni ni pachafu ila pasafi huwezi tupa taka. Dunia ilianza na Mungu ndipo akaumba vitu na watu ila hawa watu wakajiona wana utu na kuupoteza wetu utu.
Kaliwene mwanangu, pia kawaambie kuwa haki ipo wazi na kisichokuwa haki kipo wazi hakuna haja ya kuitafuta haki na kumwambia mtu kuwa hii ni haki yako.
Ukijenda nyumba ukaweka na mlango basi mlango utoshe kuwa njia ya kuingia ndani hata kama kule nyuma dirishani kunapitika, ule ukuta wa nyuma nguzo zake legelege hivyo ukipita mara kwa mara utakegea na nyumba itabomoka.
Mwanangu kihistoria sisi ni waafrika na wao ni wazungu, sio kila kitu cheupe ni kisafi vingine ni vichafu. Mwanangu najua hujanielewa ila nachokimaanisha ni kwamba sisi waafrika tunakua katika maadili yetu na wazazi wetu wanatuambia kila kitu ila katu sikuwahi msikia babu kuniambia kama mlango una shida naruhusiwa kupitia dirishani. Dunia hii imekamilika ndege wapo dume na jike, wanyama pia wapo dume na jike, vipi sisi ambao tupo dume na jike leo hii dume awe jike na jike awe dume? hilo tafakari.
Haki tunazipenda ndio maana huku kwetu kuna mahakama ila kugeuzana huo ni zaidi ya unyama.
Kaliwene mwanangu, ukifikisha ujumbe huu watakupinga ila wewe fanya kilichokuleta huko ukirudi pita kwenye lile chujio takataka ziache hapo kwani hapa kwetu sio jalala. wakikulazimisha wakitaka kukupa na hela kataa waambie sawa mimi masikini ila mimi ni WA KULE SIO WA HUKU. Mimi baba yako nina watoto kumi na mbili na wewe ndio kifungua mimba na Lusi ndio kitinda mimba, ila mimi sijawahi beba mimba ila mama tenu.
Tumeumbwa wanaume kwa wanawake ili tuzaliane, mume akiwa mke na mke akiwa mume huo ndio mwisho wa maisha. Sijasema wao ni watu wabaya ila usiwafate, kwasababu sisi tumekulea vyema hatujakunyima haki yako na haki zako unazijua wasikuongezee mwisho wakaja kukulaghai. Kaliwene mwanangu duniani kuna dini nyingi ila Mungu alivyotuumba ametupa sote akili, akili hizi ukizitumia vizuri utajua kwa ipi ni dini na ipi ni kikundi cha watu wanaompinga mungu.
Kaliwene mwanangu liangalie gari vizuri na ulichunguze kwa makini utakuja kugundua kwamba kunasehemu maalumu kwa kazi maalumu mfano ipo sehemu ya kuweka mafuta, ipo sehemu kwaajili ya kutolea hewa chafu na moshi, ipo sehemu ya kuweka maji, ipo sehemu ya kukaa dereva na sehemu nyinginezo, lakini katu hutokuja kuskia kuwa wanapoweka mafuta pakitoka moshi, anapokaa dereva wamekaa abiria au kwenye tairi wameweka usukani. Hiyo ndio kanuni ya maisha hata kwenye mwili wako kuna hizo kanuni, upo mdomo kwaajili ya kula na kuongea, yapo masikio kwaajili ya kusikia, zipo sehemu za siri za mbele kwaajili ya kuzaliana na kuna huko nyuma kwaajili ya kutolea uchafu unaotokana na chakula unachokula.
Yule mke wako katu asiangalie chini akachora namba saba au ukamgeuza ili kumuendea pachafu acha..!! ila nenda sehemu iliyotengwa rasmi kwaajili ya hili jambo, wapo watakao sema na kukushauru kuwa kule ni pazuri ila mimi ni baba yako nakwambia ACHA kama ulivyoacha kunyonya ziwa la mama yako. Kaliwene mwanangu haya sasa nakupa ruhusa fungasha mizigo yako nenda jasiri wangu nimekuamini ila usisahau ule mkoba wangu kwani maagizo na maelezo niliyokupa pia nimeyaandika mule ndani ukisahau chukua usome usiwaulize wale wa kule kwani wewe ni wa huku kwetu sio wa kule kwao.
Mwanangu masikio kazi yake ni kusika, hivyo kusikia sio kosa ila kosa ni kusikia jambo ambalo si sahihi na wewe ukalifata. Mwanangu chunga sana nilichokwambia ila nimesahau kukwambia kitu ngoja nikwambie, siku utakayokuwa utawaona rafiki zako wale ambao mliocheza nao na wote mlikuwa weusi watakuwa weupe, ukiona hivyo hao sio rafiki zako tena kwani watakuwa wamejifanya majalala ya ule uchafu mweupe.
KALIWENE MWANANGU WEWE NI WA HUKU KWETU SIO WA KULE KWAO

Upvote
4