Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Yanga walikoswakoswa goli za kutosha, mipira mingine iligonga mwamba n.k!
Kocha alifanya kazi yake, ni vile tu mmoja alimzidi mwingine utamaduni!
Hiyo mechi kuna maudambwi yalifanyika nje ya uwanja, kuna watu wakiona huu uzi wanacheka tu!
Ile mechi ya simba vs Azam, mhhh basi tu!!