KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES-STARTING ON 5th JANUARY 2014

KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES-STARTING ON 5th JANUARY 2014

chikuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
277
Reaction score
179
KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES-STARTING ON 5th JANUARY 2014


Once again! "The Centre that Unlocks your Potentials" will be open for CPA review classes from 5th January 2014.


1. Je, uko maeneo ya Arusha na unahitaji kufaulu mitihani yako ya CPA kwa Mwezi May 2014?
2. Je, umerudia mitihani yako mara nyingi bila ya mafanikio na unaona unapoteza hela yako kwa kurudiarudia mitihani hii?
3. Je, unahitaji kukutana na walimu wenye vipaji maalum vya kufundisha masomo ya bodi ya Uhasibu (NBAA)?


Kama jibu lako kwa maswali haya ni "ndiyo"; basi, "The Kaloleni Centre for CPA Review Classes" ndiyo chaguo lako pekee; "Njoo tuongee unufaike".


"The Kaloleni Centre for CPA Review Classes" ni kituo cha kufundishia kilichopo Arusha mjini mkabala na Mnara wa Mwenge ambacho kimejipanga kufungua kipaji chako kwa kupitia walimu wake wenye uzoefu kabambe katika ufundishaji. Ni walimu wenye uelewa mkubwa wa masomo haya kwani wapo waliosoma CPA (T) na wengine ACCA (UK), hivyo utapewa vitu vya ukweli kukuwezesha wewe kufaulu mitihani yako kiurahisi. Kituo hiki kinatoa masomo kwa wanafunzi wanaojiandaa kufanya mitihani ya Bodi ya Uhasibu (NBAA) kwa Module E na Module F.

MAHALI:
Kituo kipo Arusha mjini maeneo ya Shule ya Msingi Kaloleni, Karibu na mnara wa mwenge Arusha.


GHARAMA
Gharama kwa Mitihani yote kwa kila Module; i.e Module E & Module F ni TZS 400,000/= kwa kila mwanafunzi.


MUDA: (Masomo yanaanza rasmi tarehe 5 Jan. 2014)
WEEKEND: KUANZIA SAA NNE ASUBUHI HADI SAA KUMI NA MBILI JIONI
SIKU ZA WIKI: KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI HADI SAA MOJA USIKU


Kwa mawasiliano zaidi, Piga namba zifuatazo:-
Voda (0756-953616); Airtel (0683266799) au Tigo (0714-737726)
NYOTE MNAKARIBISHWA.
 
Tunaomba CV za hao walimu wanaofundisha hapo kuanzia sekondary mpaka chuo
 
Tunaomba CV za hao walimu wanaofundisha hapo kuanzia sekondary mpaka chuo
Sekondari inakusaidia nini kwenye mitihani ya bodi ya uhasibu?
Tujaribu kuomba vitu ambavyo ni vya msingi.
 
lete c.v tafadhali maana wababaishaje wamekuwa wengi sana

Wewe sio msomaji bali mbabaishaji! Intelligent person do attend first and then once he/she is not satisfied with the quality of teaching services provided there he/she goes to another centre early in the beginning...
Sasa wewe unakalia kuomba CV, nani alikwambia kwamba CV inaonyesha uwezo wa mtu ku-deliver material.
Delivering material is an in-born charisma not CV contents....Usidanganyike ndugu wangu!
 
Back
Top Bottom