imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 992 Dec 4, 2016 #1 Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe.
Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 9, 2016 #2 Nenda maduka ya dawa ukaulize utapata kalonji tables
Anthony Paschal JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 513 Reaction score 11 Dec 9, 2016 #3 Inatibu nini
imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 992 Dec 19, 2016 Thread starter #4 MziziMkavu said: Nenda maduka ya dawa ukaulize utapata kalonji tables Click to expand... Asante mkuu nimeshapata
MziziMkavu said: Nenda maduka ya dawa ukaulize utapata kalonji tables Click to expand... Asante mkuu nimeshapata
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 19, 2016 #5 maguzukauzu said: Inatibu nini Click to expand... Inatibu maradhi yote unayoyajuwa wewe .
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Dec 19, 2016 #6 imbegete said: Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe. Click to expand... Ni dawa nzuri sana, mimi natumia ya maji-mafuta ya hizo black seeds, ni dawa nzuri sana unakunywa na kupaka, Sijajua kwa Tanzania utapata wapi, hope kwenye maduka yanayo uza dawa za kienyeji hasa za Kiarabu au kihindi, mimi nilichukua India
imbegete said: Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe. Click to expand... Ni dawa nzuri sana, mimi natumia ya maji-mafuta ya hizo black seeds, ni dawa nzuri sana unakunywa na kupaka, Sijajua kwa Tanzania utapata wapi, hope kwenye maduka yanayo uza dawa za kienyeji hasa za Kiarabu au kihindi, mimi nilichukua India
imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 992 Dec 22, 2016 Thread starter #7 MziziMkavu said: Inatibu maradhi yote unayoyajuwa wewe . Click to expand... Mzizi Mkavu, baada ya kupimwa hospitali imegundulika kuwa nasumbuliwa na cervical spondylosis. Naomba msaada wako.
MziziMkavu said: Inatibu maradhi yote unayoyajuwa wewe . Click to expand... Mzizi Mkavu, baada ya kupimwa hospitali imegundulika kuwa nasumbuliwa na cervical spondylosis. Naomba msaada wako.