Kalonji Tablets

Kalonji Tablets

imbegete

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,299
Reaction score
992
Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe.
 
Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe.

Ni dawa nzuri sana, mimi natumia ya maji-mafuta ya hizo black seeds, ni dawa nzuri sana unakunywa na kupaka,
Sijajua kwa Tanzania utapata wapi, hope kwenye maduka yanayo uza dawa za kienyeji hasa za Kiarabu au kihindi, mimi nilichukua India
 
Back
Top Bottom